No media source currently available
Hassan Sheikh Mohamud anachukua madaraka baada ya miezi kadhaa ya ukosefu wa uthabiti wa kisiasa, changamoto za usalama na ufisadi huku nchi hiyo ikikabiliwa na uasi wenye ghasia na ukame mbaya.