No media source currently available
Umoja wa Ulaya umependekeza hatua kali zichukuliwe dhidi ya Russia ikiwemo kupiga marufuku ununuzi wa mafuta yake na vikwazo kwa washukiwa wa uhalifu wa kivita.