Msanii huyu ambaye ni mshiriki na mnufaika wa programu ya Mandela Washington Fellowship, YALI, akieleza jinsi anavyotumia sanaa hiyo kuelimisha vijana katika jamii katika mazingira ya Kiafrika kuwa na fikra chanya. Pia anaelezea changamoto ya fani hiyo na jinsi jamii inavyoweza kunufaika nayo.
Matukio
-
Desemba 23, 2024
Ghana yakabiliwa na wimbi la taarifa potofu zenye madhara
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu
-
Juni 11, 2024
Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani?