Rais wa Rwanda, Paul Kagame Alhamisi aliikosoa Jumuiya ya kimataifa kwa "kukaa kimya wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994," ambapo inaaminika kwamba takriban watu laki nane walipoteza maisha yao katika mashambulizi yaliyowalenga zaidi Watutsi.