Wafuasi wa chama cha upinzani Tanzania, Chadema, wakiwa na hisia wakati Mwenyekiti wao Freeman Mbowe alipowasili Mahakama Kuu ya Dvisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Video hii imechukuliwa na Mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, Tanzania, Khaleed Abubakar.