Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 23:39

Watu sita wauawa katika shambulizi la bomu Somalia


Watu sita wauawa katika shambulizi la bomu Somalia
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Watu sita wameuawa katika shambulizi la bomu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

-Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani asisitiza uamuzi wa Marekani kutetea uadilifu wa Ukraine wakati mivutano inaendelea kati ya Moscow na Kyiv.

- Wananchi wa DRC watoa maoni tofauti kuhusu uamuzi wa Mahakama ya ICJ kuitaka Uganda. kuilipa fidia DRC.

-Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG