Ungana na Mkamiti Kibayasi akikuletea kipindi kipya kabisa cha maisha na Afya kutoka VOA Swahili, Washington D.C. Wiki hii Mkamiti anazungumza na daktari Frank Minja mtanzania anayeishi Marekani kuhusu mionzi ya kansa na athari zake kwa watu wazima na watoto.