Sura mpya Pennsylvania, eneo la maadhimisho ya kitaifa, ambalo kabla lilikuwa mgodi na sasa ni eneo la kuwaenzi wahanga waliofariki baada ya kujaribu kuchukua udhibiti wa ndege iliyotekwa na magaidi
Rais anatoa heshima zake katika maeneo matatu, ambako ndege zilianguka, lakini atawaachia wengine kutoa hotuba.
Maandalizi ya kumbukumbu ya shambulizi la kigaidi la Septemba 11 ambalo lilipelekea vita na kusababisha Wamarekani na wanajeshi na raia wengine kupoteza maisha na vilidumu kwa zaidi ya miaka 19.
Wamarekani waeleza yale walioshuhudia siku ya shambulizi la Septemba 11 lililotokea New York wakieleza namna watu walivyopata hofu na tukio hilo kuwaathiri kiafya, kifamilia na kisaikolojia.
Picha zikionyesha mtiririko wa muda na matukio yalvyokuwa yanvyoendelea wakati wa shambulizi la September 11 nchini Marekani.
Kumbukumbu hiyo ilifunguliwa katika eneo la maghorofa pacha ya World Trade Center. Makumbusho hayo yamejengwa katika eneo la moja ya maghorofa hayo na kufunguliwa Septemba 11, 2011, ili umma uweze kutembelea . Inawaenzi wale wahanga wote wa shambulizi la Septemba 11, 2001.
Siku ya Jumanne, Sept. 11, 2001, wapita njia eneo la chini la Manhattan wakishuhudia moshi mzito katika jengo la World Trade Tower baada ya shambulizi la kigaidi asubuhi na mapema.
Tangu uamuzi uliokuwa na utata wa kuondoa wanajeshi Afghanistan mwishoni mwa mwezi August, utawala wa Biden umechukua hatua ngumu ya kusitisha vita vilivyodumu kwa miaka 20 kwa kutoa vilelezo vingi ambavyo vinaweza kutoa mwangaza juu ya maadhimisho ya Septemba 11.
Timu za ulinzi wa kutumia mbwa katika viwanja vya ndege vyote vinatekeleza jukumu muhimu la kuiweka Marekani salama kutokana na vitisho vya magaidi baada ya shambulizi la kigaidi la Septemba 11.
Kijana wa Kimarekani aeleza fikra zake juu ya tukio la shambulizi la Septemba 11, ambaye wakati linatokea alikuwa na umri wa miaka miwili.