Mwanasisa huyo aliahidi haraka kuboresha shule, kodi za chini, na kuleta kile alichokiita "siku mpya kwa ajili ya watu wa virginia."
Kati ya maseneta 100 waliopiga kura, 57 walimkuta na hatia huku 43 wakisema hana hatia.
Rais wa Marekani Joe Biden amesema ameanza kutekeleza ahadi alizotoa kwa Wamarekani kwa kusaini amri kadhaa za kiutendaji ili kulisaidia taifa kudhibiti virusi vya corona na kuimarisha hali ya maisha ya wananchi.
Mshairi Amanda Gorman alitumia kipaji chake kuwahasisha Wamarekani kutafakari juu ya mustakbali wa nchi yao na kuwa na kuwa na mshikamano.
Mara tu baada ya kuapishwa Biden ameirudisha Marekani katika makubaliano ya Paris juu ya mabadiliko ya hali ya hewa na kuanza kutoa amri za utendaji kubadili sera za ndani na kimataifa za aliyemtangulia Donald Trump.
Mdemokrat Joe Biden aapishwa Jumatano kuwa rais wa 46 wa Marekani huku kukiwa na mgawanyiko mkubwa wa kisiasa pamoja na changamoto kubwa ya janga la Corona.
Angalia Joseph R. Biden na Kamala D. Harris wakiapishwa kuanza kazi kutuka Washington, Jumatano, Januari 20 kuanzia saa 11:30 AM EST/1630 UTC
Joe Biden ameapishwa Jumatano kuwa Rais wa 46 wa Marekani pamoja na Makamu Rais Kamala Harris, Seneta wa zamani Baraza la Seneti la Marekani.
Katika hotuba yake ya kuapishwa, Biden amesema “Matakwa ya watu yamesikika, na yamezingatiwa. Tumejifunza mara nyingine kuwa demokrasia ni yenye thamani na demokrasia inaweza kuharibika. Katika saa hii, Rafiki zangu, demokrasia imeshinda.”
Matayarisho ya kuapishwa Rais mteule Joe Biden na Makamu Rais mteule Kamala Harris yafanyika katika ulinzi mkali.
Rais mteule anatarajiwa kusaini amri 15 za kiutendaji, muda mfupi baada ya kuapishwa kama rais wa 46 wa Marekani.
Siku ya kuapishwa kwa rais mpya ni kuthibitisha utaratibu unaoendelea wa serikali inayojitawala. Kiongozi mpya huapishwa, akipewa mamlaka ya kutawala kwa ridhaa ya wananchi.
Pandisha zaidi