Seattle, Washington Wakati akiigiza, Chad Goller- Sojourner anaonyesha namna asivyoweza kuunganisha maisha yake ya utotoni.
Stephanie Poole anasomesha kidato cha nne katika shule ya umma mjini Seattle magharibi ya Marekani.
Angela Tucker ambaye wakati anakua akijihisi hajakamilika, hata akiwa ndani ya familia kubwa ya ndugu saba, baadhi yao wazungu, baadhi weusi, wengi wao wamechukuliwa kulelewa.
Kila mwaka, familia nchini Marekani zinawaleta majumbani maelfu ya watoto wanaotoka ndani na nje ya nchi kuwalea. Kumleta nyumbani mtoto mgeni inahitaji kumjengea mazoea. Kumleta nyumbani mtoto wa rangi tofauti inaleta changamoto nyingine katika malezi hayo.
Angela Tucker ambaye katika ukuaji wake alikuwa akijihisi hajakamilika, hata akiwa ndani ya familia kubwa ya ndugu saba, baadhi yao wazungu, baadhi weusi, wengi wao wamechukuliwa kulelewa.
Utangulizi Kila mwaka, familia nchini Marekani zinawaleta majumbani maelfu ya watoto kuwalea wanaotoka ndani na nje ya nchi. Kumleta nyumbani mtoto mgeni inahitaji kumjengea mazoea. Kumleta nyumbani mtoto wa rangi tofauti inalenga changamoto nyingine katika malezi hayo.