Katika mwezi kuenzi watoto wanaolelewa na watu wengine, VOA inaangalia kwa karibu zaidi juu ya uzoefu wa watoto weusi ambao kwa kiwango kikubwa hawana uwakilishi wa kutosha katika mfumo wa ustawi wa jamii wa mtoto wa Kimarekani, na hivyo wanalelewa na familia za wazungu.
Changamoto gani ambazo wazazi hawa na watoto wanakutana nazo wakati familia zinapounganisha watu wa rangi tofauti? Nini wale wanaolelewa wanafikiria katika kujiunga na familia hizo, mashule na jamii mbalimbali ambazo hazina mchanganyiko mkubwa wa rangi watu wa rangi mbalimbali.
Claire Morin-Gibourg wa Kitengo cha VOA Afrika anachambua maswali haya katika mtiririko wa Makala hizi:
Tafadhali fuatilia simulizi za uzoefu wa wazazi wanaolea watoto wa rangi tofauti