Vita vya Ukraine vilivyo sababisha tatizo la petroli Somalia
Your browser doesn’t support HTML5
Mchambuzi wa masuala ya uchumi aeleza jinsi Somalia ilivyoathiriwa na vita vinavyoendelea Ukraine akisema athari ya kwanza ilikuwa katika bei ya petroli na kupandisha gharama ya takriban kila kitu.