Viongozi wa Afrika wazungumzia athari za Mabadiliko ya Hali ya Hewa Afrika kabla ya COP28
Wajumbe wamekusanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kenyatta, (KICC) kuhudhuria mkutano wa kilele wa Hali ya Hewa Afrika. Nairobi September 4, 2023.
Wajumbe kwenye ukumbi wa mikutano wa Kenyatta, (KICC) kuhudhuria mkutano wa kilele wa Hali ya Hewa Afrika. Nairobi September 4, 2023.
Rais William Ruto (1st row C) na viongozi wenzake pamoja na wajumbe wakipiga picha ya pamoja wakati wa mkutano wa Hali ya Hewa Afrika, katika ukumbi wa mikutano wa Kenyatta, (KICC) Nairobi on September 4, 2023. (Photo by Luis Tato / AFP)
Wajumbe wahudhuria kikao cha ufunguzi cha mkutano wa Hali ya Hewa Afrika mjini Nairobi.
Wanawake wa ki-Turkana washiriki kwenye maandamano kutetea haki zao kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa wakati wa mkutano wa Hali ya Hewa Afrika jijini Nairobi. September 4, 2023.
Rais William Ruto wa Kenya akifuatana na Rais Julius Maada wa Sierra Leone baada ya kuufungua rasmi mkutano wa viongozi juu ya Hali ya Hewa Afrika (ACS) 2023, mjini Nairobi
Wanaharakati wa kutetea mazingira wakilalamika dhidi ya utumiaji mafuta ghafi wakati nje ya mkutano wa Hali ya Hewa Afrika mjini Nairobi.
Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, pamoja na viongozi wa Umoja wa Ulaya watembelea kitongoji cha Mukuru, Nairobi wakati wa mkutano wa hali ya Hewa Afrika .