Mkenya avunja rikodi ya mbio za London Marathon

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanariadha wa Kenya alivunja rikodi za mbio za London Marathon siku ya Jumapili akimaliza kwa saa mbili dakika moja na sekunde 25. Ungana na mwandishi wetu akukuletea yale yaliyojiri wakati wa mashindano hayo.