Mjadala juu ya ajali ya meli Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali M. Shein na Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif wakiwa wenye huzuni wakati walifika eneo la ajali ya meli ya Spice Islander.

Wajumbe kwenye mjadala wanajadili matatizo yaliyotokea hadi ajali kutokea, hadithi za walonusurika, na hatua zinazohitajika kuepusha ajali kama hiyo kutokea tena.