Mahojiano ya kumchunguza Rais wa Marekani yaanza hadharani

Mwenyekiti wa Kamati ya Upelelezi Adam Schiff wa California, kushoto, akizungumza wakati Mwakilishi  Devin Nunes, Mrepublikan-Calif., mjumbe wa ngazi ya juu wa kamati hiyo akisikiliza mahojiano yakiendelea katika Bunge la Marekani, Washington, Jumatano, Nov. 13, 2019

Afisa mwanadiplomasia George Kent, kushoto, na mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani huko Ukraine William Taylor, kulia, wakiapa kabla ya kutoa ushahidi mbele ya Kamati ya Upelelezi ya Baraza la Wawakilishi, Washington, Jumatano, Nov. 13, 2019

Mwenyekiti wa kamati  Adam Schiff (C), Mdemokrat wa California, akitoa tamko la utangulizi wakati wa mahojiano ya kwanza yanayofanyika hadharani.

George Kent, Naibu waziri wa nchi anayeshughulikia masuala ya Ulaya  na Asia  na William Taylor, mwanadiplomasia wa ngazi ya juu Ukraine, wakiapishwa kabla ya kutoa ushahidi mbele ya kamati ya upelelezi.

Bunge la Marekani mjini Washington, mapema Friday, Nov. 8, 2019, wakati Wademokrat wakiendelea kuchunguza iwapo Rais Donald Trump alikwenda kinyume na kiapo alichokula cha ofisi ya rais  kwa kuilazimisha Ukraine kumchunguza hazimu wake kisiasa Joe Biden na familia yake. (AP Photo/J. Scott Applewhite)

Mwenyekiti Adam Schiff (Katikati), Mdemokrat wa California, akitoa tamko la utangulizi wakati wa mahojiano ya kwanza yanayofanyika hadharan.