Maadhimisho ya siku ya kiswahili Duniani nchini Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Kiswahili ni lugha iliyopitia mabadiliko makubwa inayotambulika vizuri barani Afrika, sasa kimejiweka imara katika ngazi ya kimataifa. Ungana na mwandishi wetu kutoka Tanzania akikuletea maelezo kamili ya maadhimisho ya siku ya Kiswahili...