Msichana huyo mwenye umri wa miaka 22 ambaye anadaiwa alifariki akiwa amezuiwa katika kituo cha polisi kwa kukiuka maadili na Iran imesema imeamuru uchunguzi ufanyike kufuatia kifo chake. Endele kusikiliza tukio hili...
Iran yashuhudia wiki ya pili ya ghasia katika miji mbalimbali
Your browser doesn’t support HTML5
Waandamanaji wakisema kuwa "huu ni mwaka wa damu" huku majeshi ya Iran yakiingia mitaani kote huku nchi hiyo ikiwa katika wiki ya pili ya ghasia za umma kufuatia kifo cha msichana Mahsa Amini.