Hayati Malkia Elizabeth II alizuru kitaifa Marekani mara nne katika uhai wake

Your browser doesn’t support HTML5

Hayati Malkia Elizabeth II alikuwa siyo mgeni Marekani, na kwa mujibu wa wanahistoria alikutana mara nyingi na marais wa Marekani kuliko mkuu yoyote wa nchi duniani.