Chama tawala Afrika Kusini chatabiriwa kutopata asilimia 50 ya kura
Your browser doesn’t support HTML5
Uchaguzi Mkuu wa saba wa kidemokrasia unatarajiwa kufanyika Mei 29 nchini Afrika kusini, Chama tawala cha ANC ikiwa na wasiwasi huku kikitabiriwa kutotimiza asilimia 50 ya kura.