Biden arejea kutoka G7, mazungumzo ya deni la taifa yaendelea

Your browser doesn’t support HTML5

Mazungumzo ya Marekani kushindwa kulipa deni lake yaliendelea Jumapili wakati Rais wa Marekani Joe Biden akiwa safarini kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano wa G7 Japan.

Rasimu ya sera ya elimu pamoja na mtaala mpya umepokelewa kwa hisia tofauti nchini Tanzania.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari