No media source currently available
Wananchi wa Sudan waendelea kuandamana huku wakishinikiza utawala wa kiraia kurejeshwa nchini humo wakati polisi wakiendelea kutumia nguvu za ziada dhidi ya waandamanaji.