Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 02:19

Shambulizi la bunduki Buffalo, New York laibua mjadala wa umiliki wa bunduki


Shambulizi la bunduki Buffalo, New York laibua mjadala wa umiliki wa bunduki
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:51 0:00

Mjadala wa umiliki wa bunduki unaendelea Marekani wakati taifa hilo likiomboleza vifo vya watu 10 katika shambulizi la Jumamosi mchana mjini Buffalo, New York ambapo mtu menye bunduki alifyatua risasi katika duka la chakula lilioko katika makazi lenye wateja wengi watu weusi.

XS
SM
MD
LG