Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Aprili 11, 2025 Local time: 03:13

Mzawa wa Marekani kuliambia kongamano la maji UN alivyookoa mto wao


Mzawa wa Marekani kuliambia kongamano la maji UN alivyookoa mto wao
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:09 0:00

Wajumbe kutoka sehemu mbali mbali za dunia watapokutana kwenye Umoja wa mataifa kuzungumzia suala la maji, Brook Thompson atakuwa miongoni mwao, akielezea hadithi ya juhudi za kabila lake kuokoa mto wao.

Mto Klamath, unaomwaga maji kutoka Oregon hadi pwani ya California, umesaidia maisha ya binadamu kwazaidi ya miaka elfu moja. Watu wa Yurok na makabila mengine yanayoishi kando ya ukingo wake kwa zaidi ya miaka elfu moja wametegemea mto wa Klamath kama chanzo kikubwa cha mojawapo ya vyakula bora zaidi vya asili: samaki aina ya Salmon.

XS
SM
MD
LG