Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 16:23

Mudavadi asema serikali ya Kenya itaheshimu maamuzi ya mahakama


Mudavadi asema serikali ya Kenya itaheshimu maamuzi ya mahakama
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi amesema serikali ya Kenya itaheshimu maamuzi ya mahakama kuhusu kupeleka polisi Haiti.

VOA imewatembelea baadhi ya wakulima katika wilaya ya Johari, Jimbo la Shebele ya Kati huko Somalia, wakieleza walivyokabiliana na hali mbaya ya hewa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG