Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo inaadhimisha miaka 50 ya uhuru, siku ambayo bendera ya Congo ilipeperushwa kwa mara ya kwanza hapo June 30 1960 kama nchi huru. Katika ukurasa huu maalum utaweza kusoma kusikiliza na kujionea picha za miaka 50 za uhuru wa DRC.