Hii ni hatua ya kuweka shinikizo kwa serikali kuwatimua waasi wa M23 katika mji wa Bunagana pamoja na vijiji vingine ambapo wamekuwa wakividhibiti kwa takriban miezi mitatu hivi sasa.