Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 02:30

Marekani: Marais wa zamani na aliyeko madarakani washiriki kufanya kampeni


Marekani: Marais wa zamani na aliyeko madarakani washiriki kufanya kampeni
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:58 0:00

Marais wa zamani Donald Trump, Barack Obama, Bill Clinton pamoja na Rais aliyeko madarakani wameshiriki katika kampeni ya uchaguzi wa katikati ya muhula saa chache kabla ya uchaguzi huo kufikia kilele kesho Jumanne Novemba 8, 2022.

XS
SM
MD
LG