No media source currently available
Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden hautatekeleza amri ya kuvaa barakoa katika vyombo vya usafiri wa umma baada ya Jaji wa Mahamakama ya Serikali huko Florida kuamua amri hiyo ya miezi 14 ni kinyume cha sheria.