Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 05:35

Guterres alaani mashambulizi dhidi ya walinda amani wa UN


Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres
Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres

Guterres amesema kwamba mashambulizi dhidi ya walinda amani wa UN hayaruhusiwi kabisa na ni kinyume na sheria ya kimataifa ya binadamu na huenda ikawa ni uhalifu wa vita.

Ufaransa imeahidi dola milioni 108 kwa ajili ya msaada kwa Lebanon.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema kwamba msaada mkubwa unahitajika kwa ajili ya watu wa Lebanon, ambapo kuna vita kati ya Israel na wanamgambo wa Hezbollah, ambavyo vimepelekea zaidi ya watu milioni moja kukoseshwa makao na zaidi ya 2,500 kufariki.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron

Vita hivyo vile vile vimesababisha Lebanon kuingia katika mgogoro wa kiuchumi.

Forum

XS
SM
MD
LG