Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Novemba 23, 2024 Local time: 09:53

FUS de Rabat 82 – Petro de Luanda 73⁣


Morocco FUS de Rabat Angola ya Petro de Luanda 82 – 73 katika ufunguzi wa msimu wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2024.⁣
Morocco FUS de Rabat Angola ya Petro de Luanda 82 – 73 katika ufunguzi wa msimu wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2024.⁣

⁣Timu ya Morocco FUS de Rabat imeifunga timu ya Angola ya Petro de Luanda 82 – 73 katika ufunguzi wa michuano ya msimu wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2024.⁣

Ligi hiyo ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2024 ilianza Jumamosi, Machi 9, 2024.

Msimu wa BAL 2024 unashirikisha timu za vilabu vya 12 kutoka nchi 12 za Afrika wakicheza michezo 48 ambayo haijawahi kutokea katika mataifa manne ya Afrika – Afrika Kusini, Misri, Senegal na Rwanda – kwa kipindi cha miezi minne, ikiwa ni michuano ya kwanza ya BAL kufanyika Afrika Kusini na kwa mara ya kwanza ligi hiyo itachezwa katika nchi nne tofauti.

Mchezaji wa Al Ahly Michael Fakuade
Mchezaji wa Al Ahly Michael Fakuade

Al Ahly ya Misri iliifunga AS Douanes ya Senegal 80-65 ili kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mpira wa Kikapu 2023. Msimu huu unaanza Jumamosi, Machi 9.

Forum

XS
SM
MD
LG