Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 10:00

Chadema yapewa fursa kupendekeza wagombea wa EALA


Bunge la Tanzania
Bunge la Tanzania

Uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) utafanyika Mei 10 mwaka huu.

Katibu wa Bunge amewaambia wabunge Ijumaa kuwa uteuzi wa majina ya watakaogombea uchaguzi huo utafanywa na vyama Mei 3.

Thomas Kashililah amesema kuwa hilo linafuatia kushindwa kwa Chadema kupata wawakilishi wa wabunge wa EALA baada ya majina waliopeleka bungeni hapo kupigiwa kura za hapana.

Wateuliwa wa Chadema waliokataliwa na bunge hilo ni Lawrence Masha na Ezekia Wenje ambao walipendekezwa awali na Chadema kuwania ujumbe wa bunge la EALA.

XS
SM
MD
LG