Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 09:31

Freeman na wenzake watatu wakutwa na kesi ya kujibu na Mahakama Kuu Tanzania


Freeman na wenzake watatu wakutwa na kesi ya kujibu na Mahakama Kuu Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:57 0:00

Mwenyekiti wa chama cha upinzani Tanzania, Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wamekutwa wana kesi ya kujibu katika kesi ya ugaidi inayowakabili.

Malawi yatangaza mlipuko wa ugonjwa wa polio.

Russia yajenga kimya kimya uhusiano wa kiuchumi na kijeshi na nchi za Afrika

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG