Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 06:29

DRC: Muathirika wa vita aeleza alivyojeruhiwa na bomu, aomba amani


DRC: Muathirika wa vita aeleza alivyojeruhiwa na bomu, aomba amani
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:31 0:00

Mwanamke aliyeathiriwa na vita huko Nyiragongo, DRC, Charlotte Vimana vinavyoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akisimulia jinsi bomu lilivyolipuka na kumjeruhi na kupelekea kuwa na ulemavu. Anaelezea jinsi mguu ulivyopoteza nguvu.

Lakini licha ya kujaribu kukimbia mapigano akisema hata hawajui walikokuwa wanakimbilia. Anatoa wito kwa wahusika kufanya bidii ya kutafuta amani ili yeye na wakimbizi wengine waweze kurejea katika makazi yao. Anaeleza hatari za kuishi kambini ikiwepo maambukizi ya magonjwa mbalmbali. Endelea kusikiliza.

XS
SM
MD
LG