Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 15:40

DRC: Kenyatta awaomba wananchi kushirikiana kuleta amani


DRC: Kenyatta awaomba wananchi kushirikiana kuleta amani
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:34 0:00

Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amewataka wananchi kujumuika pamoja kutafuta njia ya kupatikana amani. Na amesisitiza ndiyo maendeleo ambayo wanastahiki kupatiwa.

XS
SM
MD
LG