Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 11:06

China yaelezwa kuwa bado tishio kwa eneo la Asia


Kamanda wa Marekani wa Komandi ya Kusini, Admiral Craig S. Faller
Kamanda wa Marekani wa Komandi ya Kusini, Admiral Craig S. Faller

Kamanda wa vikosi vya Marekani vya Asia ya kati na America Kusini, Craig Faller, anasema China inaendelea kuwa tishio kubwa katika eneo hilo.

Kamanda huyo aliwaeleza wabunge wa Marekani kwamba China, inatumia mwanya wa uwepo wa virusi vya corona na kuongeza ushawishi wake katika mataifa mbalimbali duniani.

Wakati mawaziri wa mambo ya nje na ulinzi wa Marekani wakiwa ziarani kukutana na washirika wake wa ukanda wa Asia, kushughulikia vitisho vya China, taifa hilo limeendelea na uchokozi.

Kamanda huyo muhimu wa jeshi la Marekani ametoa onyo kwamba ushindani wa kutawala dunia baina ya Washington, na Beijing, umekuwa zaidi ndani ya Marekani.

XS
SM
MD
LG