Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 17:09

Israel yashambulia mji wa bandari Lebanon, waamrisha waakazi kuondoka eneo hilo


Israel yashambulia mji wa bandari Lebanon, waamrisha waakazi kuondoka eneo hilo
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Israel yashambulia mji wa bandari huko Lebanon na kuwataka wakaazi wa eneo hilo kuondoka.

Rais wa Russia Vladimir Putin amesema takriban nchi 30 zimeonyesha nia ya kujiunga na mkutano wa BRICS.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG