Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 16:57

Ruto atangaza hatua kadhaa za kubana matumizi


Ruto atangaza hatua kadhaa za kubana matumizi
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Rais wa Kenya William Ruto ametangaza hatua kadhaa za kubana matumizi, mashirika 47 ya serikali kufungwa na watumishi wa umma wenye zaidi ya miaka 60 wameagizwa kustaafu.

Nchini Uingereza Waziri Mkuu mpya anaunda baraza la mawaziri baada ya chama cha Labor kupata ushindi mkubwa na kuwaondoa ma-conservative.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG