Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 10:40

Afrika Mashariki yamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyeaga dunia Alhamisi

Afrika Mashariki yamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyeaga dunia Alhamisi
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Ali Hassan Mwinyi, ambaye katika awamu mbili kama rais wa Tanzania alisimamia kuanzishwa kwa demokrasia ya vyama vingi na kuanzishwa kwa uchumi huria, amefariki akiwa na umri wa miaka 98.

XS
SM
MD
LG