Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 22:43

IMF yasema imeipatia Kenya mkopo wa zaidi ya dola za Marekani milioni 900


IMF yasema imeipatia Kenya mkopo wa zaidi ya dola za Marekani milioni 900
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Shirika la Fedha Duniani limesema limeipatia Kenya mkopo wa zaidi ya dola za Marekani milioni 900.

Kiongozi wa upinzani mgombea urais wa zamani nchini Uganda Bobi Wine asema polisi wamezingira nyumba yake na kumweka katika kifungo cha nyumbani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG