Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 07:23

Trump ashinda wapinzani wake katika mchakato wa kwanza wa uchaguzi wa Chama cha Republikan


Trump ashinda wapinzani wake katika mchakato wa kwanza wa uchaguzi wa Chama cha Republikan
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amewashinda wapinzani wake katika mchakato wa kwanza wa uchaguzi wa awali wa chama cha Republikan kumpata mgombea wa urais wa mwaka 2024.

Rais wa Kenya William Ruto sasa anasema yuko tayari kwa mazungumzo ya kung'oa ufisadi katika idara za serikali.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG