Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 18:26

Blinken yuko katika ziara ya Israel na Jordan kujadili mgogoro wa Israel na Hamas


Blinken yuko katika ziara ya Israel na Jordan kujadili mgogoro wa Israel na Hamas
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken yuko katika ziara ya Israel na Jordan kujadili mgogoro unaoendelea kati ya Israel na Hamas.

Ujumbe wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa uliyoko huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewaondoa baadhi ya walinda amani wake ikiwa ni majibu ya utovu wa nidhamu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG