Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 05:26

Kenya: Ahadi za ufadhili wa fedha za kukabili athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinazidi kutolewa


Kenya: Ahadi za ufadhili wa fedha za kukabili athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinazidi kutolewa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Ahadi za ufadhili wa fedha za kukabili athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinazidi kutolewa katika kongamano la hali ya hewa linalofanyika jijini Nairobi.

Mkutano wa 13 wa jukwaa la mifugo barani Afrika umeanza leo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.

Polisi nchini Uganda imewakamta washukiwa wa ugaidi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG