Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 15:06

Ghasia za kijamii na mapigano yaongezeka Darfur Magharibi


please wait

No media source currently available

0:00 0:04:01 0:00

Ghasia za kijamii na mapigano kati ya majeshi ya Sudan na kikosi maalum cha Rapid Support Forces huko Darfur Magharibi zimeongezeka katika siku za karibuni, kwa mujibu wa ripoti. Walioshuhudia ambao wameukimbia mji wa Geneina wanasema mji wao umesambaratishwa.

XS
SM
MD
LG