Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 16:01

Mwanafunzi asema uhuru wa vyombo vya habari upo nchini Tanzania


Mwanafunzi asema uhuru wa vyombo vya habari upo nchini Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:39 0:00

Nura Mohamedi mwanafunzi anayesomea uandishi wa habari kutoka chuo cha habari DSJ kilicho Ilala Dar es Salaam amesema kila nchi inasheria zake na taratibu ambazo imejiwekea, hivyo nchiniTanzania uhuru wa vyombo vya habari unaridhisha.

XS
SM
MD
LG