Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 02:38

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa awataka waasi kuheshimu mkataba wa sitisho la mapigano


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa awataka waasi kuheshimu mkataba wa sitisho la mapigano
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa waasi wa M23 nchini DRC kuheshimu mkataba wa sitisho la mapigano unaotarajiwa kuanza Jumanne.

Kundi la wapiganaji wa Somalia lenye msimamo mkali al-Shabaab walivamia kituo cha jeshi katika jimbo kusini la Jumba Land walilolipoteza dhidi ya jeshi mwezi Januari.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG