Mtaalamu wa magonjwa ya milipuko Zhong Nanshan aliviambia vyombo vya habari vya serikali katika mahojiano yaliyochapishwa Jumapili kwamba virusi vipya aina ya Omicron vilivyoenea nchini China vinabadilika sana na vinaweza kusababisha kuongezeka kwa visa vya maambukizi