Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 16:30

Kura zaendelea kuhesabiwa Marekani wakati mshindi bado hajajulikana


Kura zaendelea kuhesabiwa Marekani wakati mshindi bado hajajulikana
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Kura zinaendelea kuhesabiwa katika kinyang'anyiro ambacho hakuna chama chenye uhakika ya ushindi katika uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.

- Kenya na Uingereza zimefikia makubaliano ya ujenzi wa bwawa kubwa sana la umeme nchini Kenya.

- Kampuni ya Twitter inaendelea na zoezi la kupunguza wafanyakazi...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG