Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 08:49

Israeli yashambulia kiwanda cha roketi cha Hamas


Israeli yashambulia kiwanda cha roketi cha Hamas
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Ndege za kivita za Israeli zimelenga kiwanda cha kutengeneza roketi cha Hamas ikiwa ni hatua ya kujibu shambulizi la roketi lililofanywa na Palestina. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari

- Kiongozi wa dini ya Katoliki Papa Francis ameungana na viongozi wa Kiislam na kutaka umoja,

- Rais wa DRC akitaka vijana kujiunga na jeshi hilo ili kupambana na waasi.

XS
SM
MD
LG