No media source currently available
Chama cha Conservative kimemuidhinisha Rishi Sunak kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na kuahidi uadilifu, uweledi na kuwajibika katika kuliongoza taifa hilo.